Live updates, Ligi Kuu Vodacom: Mgambo vs Yanga

Live updates, Ligi Kuu Vodacom: Mgambo vs Yanga

MKALIKENYA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,196
Reaction score
486
Leo ni kindumbwe ndumbwe uwanja wa Mkwakwani mechi kati ya Mgambo FC ( kiboko ya vigogo) watawakabili wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa Dar es salaam Yanga African mnamo saa 10 kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Tukumbuke Timu zote zilifanikiwa kupata matokeo katika mechi zao zilizopita Yanga wakiwasambaratisha wakata miwa wa Kagera Sugar na Mgambo akiivulumusha bila huruma Simba S.C wazee wa homa za vipindi.

=========
=========


Matokeo ya mwisho: Mgambo 0 - 2 Yanga
 
Kama kawaida,point tatu Jangwani na magoli hayaaa :rockon:yote ya vichwa.
 
Asubuh mapema nimepishana na washabik wengi wa yanga wakielekea Tanga hope Yanga itashinda kuongeza gap
 
Kila la kheir kwa timu ninayoipenda dar young africans.
Yanga daima mbele nyuma mikia.
 
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Mgambo Jkt a.k.a Wababe wa mikia;
1.Ally Mustapha Barthez
2.Mbuyu Junior Twite
3.Oscar Fanuel Joshua
4.Nadir Haroub Canavaro
5.Kelvin Yondan "Cotton"
6.Juma Said Makapu
7.Simon Happygod Msuva
8.Salum Telela "Abo master"
9. Kpah Sherman
10.Amiss Tambwe
11.Haruna Niyonzima Fabregas
SUB---
Deogratius Munish Dida
Rajabu Zahir
Juma Abdul
Hussein Javu
Edward Charles
Jerryson Tegete.
Kocha mkuu...
HANS VAN PLUIGM

Kocha msaidizi--
CHARLES BONIFACE MKWASA.

Kila la kheir dar young africans.

YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
 
Kila la kheri nasikia kuna mauza Uza sana Mkwakwani!!
 
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Mgambo Jkt a.k.a Wababe wa mikia;
1.Ally Mustapha Barthez
2.Mbuyu Junior Twite
3.Oscar Fanuel Joshua
4.Nadir Haroub Canavaro
5.Kelvin Yondan "Cotton"
6.Juma Said Makapu
7.Simon Happygod Msuva
8.Salum Telela "Abo master"
9. Kpah Sherman
10.Amiss Tambwe
11.Haruna Niyonzima Fabregas
SUB---
Deogratius Munish Dida
Rajabu Zahir
Juma Abdul
Hussein Javu
Edward Charles
Jerryson Tegete.
Kocha mkuu...
HANS VAN PLUIGM

Kocha msaidizi--
CHARLES BONIFACE MKWASA.

Kila la kheir dar young africans.

YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.

Mkuu Vipi Ngasa hachezi leo au ana kadi 3 za njano au anaumwa?
 
Hawa mgambo leo wanapigishwa kwata sio mchezo.
 
Friends of Mgambo tupo....Mgambo team piga yeboyebo goli mbili warudi eda jangwanii
 
Back
Top Bottom