MKALIKENYA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,196
- 486
Leo ni kindumbwe ndumbwe uwanja wa Mkwakwani mechi kati ya Mgambo FC ( kiboko ya vigogo) watawakabili wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa Dar es salaam Yanga African mnamo saa 10 kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Tukumbuke Timu zote zilifanikiwa kupata matokeo katika mechi zao zilizopita Yanga wakiwasambaratisha wakata miwa wa Kagera Sugar na Mgambo akiivulumusha bila huruma Simba S.C wazee wa homa za vipindi.
=========
=========
Matokeo ya mwisho: Mgambo 0 - 2 Yanga