Ila goli la Tambwe ni zuri sana
Tungekuwa tunaongoza ligi ningeshangilia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila goli la Tambwe ni zuri sana
Tungekuwa tunaongoza ligi ningeshangilia.
Simba Yagongwa Virungu viwili na Mgambo, Ivo alambwa kadi Nyekundu | Shaffih DaudaNilikuwa nasaidia kuweka link vizuri ili wakibofya tu iwepeleke kunako.
Ila goli la Tambwe ni zuri sana
Pole sana, unakumbuka lini mara ya mwisho uliongoza ligi?
Sijaelewa hapo!
Hivi mwehu gani pale msimbazi alipendekeza tambwe aachwe kudadadadeki.....!
Ha ha ha hahahaaaa tumewalipia watani, aibu hakuna tena warudi tu hapa jukwaani.
Mbabe wao tumemnyoosha.
Mzima lakini mito sisi furaha tu, hatuna homa ya vipindi...
Ha ha ha hahahaaaa tumewalipia watani, aibu hakuna tena warudi tu hapa jukwaani.
Mbabe wao tumemnyoosha.
Mzima lakini mito sisi furaha tu, hatuna homa ya vipindi...
Hapo kwenye red bibie,ebu fungua hapa!!!
http://shaffihdauda.co.tz/okwi-aibeba-simba-taifa-aifunga-yanga-1-0/
Hata mimi huwa najiuliza hivi ni Maximo au Manji au ni nani aliyeshauri Okwi aachwe pale Jangwani? Ki ukweli madhara ya Okwi kwa Yanga ni makubwa zaidi kuliko madhara ya Tambwe kwa Simba. Yule mwehu wa Simba ni sawa tu na huyu mwehu wa Yanga (asomaye na afahamu).
Punguzeni kelele basi.