Live Updates: MO Bejaia FC vs Yanga SC at Unite Maghrebine Stadium!

Hivi wadau wa soka, hawa waarabu huwa wanawezaje kucheza na marefa halafu sisi tunashindwa wakija kwetu? au ndo ukarimu wa Watanzania?
 
kweli aisee maana naona hapa refa tu ndo anawajifadhi na faulo za kishamba
Wanajiangusha hovyohovyo yaani..Sema Pengo la Juma Abdul linaonekana dhahiri..Krosi hamna leo..

Pia goli limetokea kwa Mbuyu Twite..

Ila tunaweza kusawazisha
 
Na huo ndo ufala..

Haulazimishwi kubeba msalaba wa Yanga boya wewe..

Nani kamtaja Manji hapa..

Kama una chuki na Manji mfuate..Usinihusishe mimi na Manji..

Wenzio wa matopeni wote wamelala saa hizi...

Ficha Upumbavu wako...Usiifiche Hekima yako
Mm ndio nimemtaja bana kuba manji akili mingi zaidi ya golo yote ya yanga.
Leo mutabamizwa 5 kila sababu mutatoa mara refa mara uwanja mara jezi mwisho mutasahau mutasema hamukumuaga Haji Manara.
 
Refa anawabeba waarabu wazi wazi, inakera sana
kweli aisee kila yangA wanapotulia na kupiga mpira anaanza vifaulo vya kishamba....bora yule jamaa alivyompush akaanguka naomba kipind cha pili akipata nafas amzibue tena labda ataznduka
 
Wanajiangusha hovyohovyo yaani..Sema Pengo la Juma Abdul linaonekana dhahiri..Krosi hamna leo..

Pia goli limetokea kwa Mbuyu Twite..

Ila tunaweza kusawazisha
yeah...juma angetupigia kazi km ya misri wangekoma tena wako kwe fungo hawa
 
Mm ndio nimemtaja bana kuba manji akili mingi zaidi ya golo yote ya yanga.
Leo mutabamizwa 5 kila sababu mutatoa mara refa mara uwanja mara jezi mwisho mutasahau mutasema hamukumuaga Haji Manara.
mkuu hiki kiswahili cha wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…