Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli aisee maana naona hapa refa tu ndo anawajifadhi na faulo za kishambaJamaa weupe sana..Wakikutana na TP Mazembe pale Lubumbashi watapigwa za kutosha..
Kaka mi sio ndala bali naangalia tu mpira, uwanja haunivutii kabisaMtani hebu acha janja nyani uwanja mdogo kwahiyo mnataka kucheza mpaka kwa mashabiki...hii kali sasa
samahani sikuona mapema, hyo ya kiarabu ndo ninayoitumiamkuu unatumia link ipi?
Wanajiangusha hovyohovyo yaani..Sema Pengo la Juma Abdul linaonekana dhahiri..Krosi hamna leo..kweli aisee maana naona hapa refa tu ndo anawajifadhi na faulo za kishamba
Mm ndio nimemtaja bana kuba manji akili mingi zaidi ya golo yote ya yanga.Na huo ndo ufala..
Haulazimishwi kubeba msalaba wa Yanga boya wewe..
Nani kamtaja Manji hapa..
Kama una chuki na Manji mfuate..Usinihusishe mimi na Manji..
Wenzio wa matopeni wote wamelala saa hizi...
Ficha Upumbavu wako...Usiifiche Hekima yako
kweli aisee kila yangA wanapotulia na kupiga mpira anaanza vifaulo vya kishamba....bora yule jamaa alivyompush akaanguka naomba kipind cha pili akipata nafas amzibue tena labda atazndukaRefa anawabeba waarabu wazi wazi, inakera sana
Kaka mi sio ndala bali naangalia tu mpira, uwanja haunivutii kabisa
hahaha...jibu murua kabisa!!😀Mkuu mwambie tuko bize na euro,copa America
yeah...juma angetupigia kazi km ya misri wangekoma tena wako kwe fungo hawaWanajiangusha hovyohovyo yaani..Sema Pengo la Juma Abdul linaonekana dhahiri..Krosi hamna leo..
Pia goli limetokea kwa Mbuyu Twite..
Ila tunaweza kusawazisha
mkuu hiki kiswahili cha wapi?Mm ndio nimemtaja bana kuba manji akili mingi zaidi ya golo yote ya yanga.
Leo mutabamizwa 5 kila sababu mutatoa mara refa mara uwanja mara jezi mwisho mutasahau mutasema hamukumuaga Haji Manara.
yeah...juma angetupigia kazi km ya misri wangekoma tena wako kwe fungo hawa
nmeipata mkuu npo na streamikasamahani sikuona mapema, hyo ya kiarabu ndo ninayoitumia
marefa wenyewe ni vyura hawa yaan hawatak waarabu waguswe
Hii swahili ya mumbai banaa.mkuu hiki kiswahili cha wapi?