Live Updates: MO Bejaia FC vs Yanga SC at Unite Maghrebine Stadium!

Live Updates: MO Bejaia FC vs Yanga SC at Unite Maghrebine Stadium!

Yanga Wanashambuliwa sana na wao hata hawashambulii
 
Hawa jamaa wala sio wazuri kihivyo ila yanga kama wameingia kwa kupooza mpira
 
Hawajafanya shambulio hata moja kwa waarabu
 
Furaha ya nyani inaishia jangwani,
Mi nlijua wwnavyosherehekea ubingwa ni kwamba wanajua kukipiga kipute, kumbe!!!!!!!!
 
MMMH! USIKU MWEMA! KICHWA KINAUMA! YANGA WATULIE, LINK YA KIARABU IKO VIZURI KWA WANAOTAKA KUSHUHUDIA, LINK YA MILARD UZUSHI
 
Back
Top Bottom