Live Updates: MO Bejaia FC vs Yanga SC at Unite Maghrebine Stadium!

Tetesi :EFM RADIO watakuwa live from Algeria.
 
link ya makoye imekubali, ila kwasasa ipo offline hadi muda wa mechi ambapo aljeria itakuwa 21:15 kwetu 00:15.
 
Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu leo ametembelea katika hospital ya Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuwaona na kuwapa pole wagonjwa wanaosumbuliwa na ugonjwa ambao hadi hivi sasa haujafahamika.
 
Duh Pole Sana Wananchi Wa Dodoma Ila Hii Serikali Kusema Ugonjwa Usiojulikana Maana Yake Nini ?
Wakati Kila Hospital Ni Ya Rufaa Kwa Kiwango Cha Mikoa Na Wilaya.

Lakini JK Kampa Mzigo Wa Kombolera Jpm
 
Mkuu huu ugonjwa kauleta Jk au ulimanisha nini mwishoni mwa comment yako?
Duh Pole Sana Wananchi Wa Dodoma Ila Hii Serikali Kusema Ugonjwa Usiojulikana Maana Yake Nini ?
Wakati Kila Hospital Ni Ya Rufaa Kwa Kiwango Cha Mikoa Na Wilaya.

Lakini JK Kampa Mzigo Wa Kombolera Jpm
 
link ya makoye imekubali, ila kwasasa ipo offline hadi muda wa mechi ambapo aljeria itakuwa 21:15 kwetu 00:15.
Duuh kuna tofauti kubwa hivyo kimasaa kati ya Algeria na TZ au mi ndo sielewi?!
 
Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu leo ametembelea katika hospital ya Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuwaona na kuwapa pole wagonjwa wanaosumbuliwa na ugonjwa ambao hadi hivi sasa haujafahamika.

Hawa si ndo walikula viwavi kipindi kile cha njaa? Utakuwa umesababishwa na viwavi huo ugonjwa!!
 
MO%2BBejaia%2Bvs%2BYoung%2BAfricans.png
 
Back
Top Bottom