Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga!.Sijui nishangilie timu gani Leo.
hyo link kwel au fake maana haifunguki kabisaTelevisheni za hapa ni pasua kichwa:
Link hii hapa:
مشاهدة مباراة مولودية بجاية ويانغ أفريكانز اليوم 19-6-2016 كأس الإتحاد الأفريقي
nimejaribu inaandika "no playable source found"
Sijui nishangilie timu gani Leo.
Duh Pole Sana Wananchi Wa Dodoma Ila Hii Serikali Kusema Ugonjwa Usiojulikana Maana Yake Nini ?
Wakati Kila Hospital Ni Ya Rufaa Kwa Kiwango Cha Mikoa Na Wilaya.
Lakini JK Kampa Mzigo Wa Kombolera Jpm
Duuh kuna tofauti kubwa hivyo kimasaa kati ya Algeria na TZ au mi ndo sielewi?!link ya makoye imekubali, ila kwasasa ipo offline hadi muda wa mechi ambapo aljeria itakuwa 21:15 kwetu 00:15.
Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu leo ametembelea katika hospital ya Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuwaona na kuwapa pole wagonjwa wanaosumbuliwa na ugonjwa ambao hadi hivi sasa haujafahamika.
yeah, kuna tofauti ya masaa matatuDuuh kuna tofauti kubwa hivyo kimasaa kati ya Algeria na TZ au mi ndo sielewi?!