Usangu
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 826
- 450
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mo bejaia 0- 2 Young African
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mo bejaia 0- 2 Young African
Hao ni wazee wa nyika yaani roho mbaya zao za kudumu ndio kwao kitu muhimu, tukishaifunga MO watadeki bahari!duuh hivi bado wapo watanzania wenye roho mbaya wasioitakia mema yanga dhidi ya waarabu leo?
Mrundi huyu au alshababu!Kwani wewe ni Mkenya, Mganda au Mnyarwanda...ina maana wewe siyo Mtanzania???
Yanga Mbele Daima!!!Mrundi huyu au alshababu!
Hajawekewa Pingamizi na Simba bali ndio utaratibu.Kama vipi mchezesheni tuHivi kumbe kweli wamatopeni wamemuwekea pingamizi Kessy, naona hayumo kwenye list
mkuu halotel toka saa 1 jion ya leo ipo down sanaHalotel Leo msiniangushe. Hivi 1GB inatosha kweli kustream mechi yote?itikadi pembeni kwanza, Kila la heri Yanga.
Mobejaia piga kabisa hao ndala.Nyie vyura bure kabisa
Tukifungwa?Yanga nawaomba mfungwees
Being sports 4 HD.entv algeriamechi ya yanga inaoneshwa channel gani usiku huu