BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Huu ujinga tff waachane nao, play off ni upuuzi tu na kuchosha watu. Zishuke 4 zipande 4 full stop.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja kwanzaSafi sana mbeya city kapata goli
Unatizama channel gani mkuuSafi sana mbeya city kapata goli
Mbeya City wamenyimwa goli halali kabisa, kama sio bahasha ya kaki kwa mwamuzi basi ni uchawi mtupu
Anapotosha Umma 🤣🤣🤣Unatizama channel gani mkuu
Unatizama channel gani mkuu
Anapotosha Umma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kapagawa, Kalowa dembendembe 😂😂😂Naam mbeya city kaingia choo cha kike
Hii game Mbeya city atafungwa 1 na shughuli inakwisha
Punguza kunywa gongoWaha waneshapasuka huko
Naam mbeya city kaingia choo cha kike
Kipindi cha kwanza dakika ya ngapi huko?Mbeya City tunamaliza mechi kipindi cha kwanza. Hawa Mashujaa wakipata hata shot off target yoyote ni zaidi ya ushindi
Mbeya City,aangalie asitoke suluhu.Muda unazidi kusonga tu.