Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

Dk' 32 .....cross dongo ya mbeya city langoni mwa mashujaa imeokolewa na goalkeeper wa mashujaa.....
 
Dk' 33 .....mchezaji wa mashujaa yupo chini anatibiwa ...
Amenyenyuka tayari
 
Hii imekuaje offside ? (Goal walilokataliwa mbeya city)Naomba mnielimishe tafadhali .....
Nilitaman mbeya city ashuke daraja,lakin Kwa uonevu huu BORA WABAKI TU...ila kila nikikumbuka Ile shangilia yao MBOVU BORA WASHUKE TU
 
Dk 34'
Kadi ya njano Kwa David mwasa ,namba mbili wa mbeya city amemlamba kiatu matata mchezaji wa mashujaa anaitwa Eliud anasumbua balaa
 
Refarii sijui ana maelekezo maalumu ama la ila Kuna vitu haviendi sawa sana ......

Kwa mnaongalia mpira mtanielewa
 
Timu zinapaswa kushuka daraja moja kwa moja.

Hata siku Simba ikicheza nafasi ya kupambania kubaki, nitaiombea timu inayocheza nayo ishinde.

Washuke daraja wakajitafakari. Kila la kheri Mashujaa.
 
Refarii sijui ana maelekezo maalumu ama la ila Kuna vitu haviendi sawa sana ......

Kwa mnaongalia mpira mtanielewa
Mpira Pesa mkuu,refa kala mlungula ,Mungu ibariki Mashujaa FC
 
dk' 38
Mchezaji wa mashujaa yupo chini anatibiwa eneo kama MITA 10 toka kwenye 18 ya mbeya city pembeni kidogo
 
dk 39'
Mchezaji wa mbeya city amesukumwa kwenye 18 ......ameanguka
Refa kamchapa njano Kwa maana kajiangusha
 
Dk' 41
Shambulizi la mbeya city limeishia kwenye mikono ya goalkeeper wa mashujaa
 
Ila waha wachawi kweli Yani mashambulizi yote haya ukipigwa Mpira hauvuki mstari au unaishia mikononi mwa golikipa
 
Dk 46'
Shambulizi hatari sana langoni mwa mashujaa ila mpira umekwenda nje na kua kona.
 
Dk 46'
Mbeya wanamwaga maji paleeeee ila mpira umekwenda nje na kua goalkick
 
Back
Top Bottom