Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

Dk 47'
Mwamuzi anamuonya goalkeeper wa mashujaa kuhusu kupoteza muda.
 
Mashujaa wanasali hapa wakiwa wamejipanga Kwa mstari usawa wa gori baada ya hapo wanatembea kwenda vyumbani ......
 
Huu mtindo naona kama haupo sawa. Yaani timu ipambane msimu mzima ishindwe halafu bado inapewa chance nyingine ya kusalia kwenye ligi? Kwa nini isingeshushwa moja kwa moja tu?
Mimi pia hili nalipinga.

Tena anapewa Chance ya kucheza na team ya daraja la kwanza . This is unfair and unacceptable.
 
Statistics ....

Mbeya city vs mashujaa
Shoot on target 4 - 0
shoot off target 3 - 0
 
Hawa Mashujaa hata waki pack basi tunawafunga magoli ya katikati ya uwanja
 
Back
Top Bottom