Akuachie nani!!! ninyi wenyewe hamtaki kufanya vizur katika ligi ya ndani ili mupate hiyo nafasi ya kutuwakilisha kimataifa, sasa unadhan nani atakuchia hiyo nafasi?! Labda itokee siku moja rais wa caf awe JAMAL MALINZI na katibu wake awe NICHOLUS MUSONYE wao wanaweza kuwapa nafasi ya kushiriki bila kuwa bingwa au makamu bingwa wa ligi kuu kama walivofanye kwenye kagame cup kuwaingizeni kupitia mlango wa nyuma.kweli kaz ya kimataifa tuachien Simba,mabingwa wa kihistoria kagame
Unaweza kuacha mlango wa nyumba bila kufunga ukajiunga na kundi la kumfukuza mwizi, ghafla unarudi nyumban unakuta watu wameshahama. Hicho ndicho kitakachokea leo saa 16:00 jioni manake viongoz wa simba, mashabiki na hata wachezaji nao wapo busy kuidadafua yanga na kusahau kuwa baadae wana majukumu ya kumfunga azam ili kuweka matumain ya kushika nafasi ya pili ili mwakani wakatuwakilishe vizur kwenye mashindano ya kimataifa?!!!!najua tulitarajia makapu angerudi na kapu la magoli
nakuunga mkono lakini kwa walipofikia si haba ukilinganisha na wawakilishi wengine na sina mahaba kuanzia kwenye avatar
Unaweza kuacha mlango wa nyumba bila kufunga ukajiunga na kundi la kumfukuza mwizi, ghafla unarudi nyumban unakuta watu wameshahama. Hicho ndicho kitakachokea leo saa 16:00 jioni manake viongoz wa simba, mashabiki na hata wachezaji nao wapo busy kuidadafua yanga na kusahau kuwa baadae wana majukumu ya kumfunga azam ili kuweka matumain ya kushika nafasi ya pili ili mwakani wakatuwakilishe vizur kwenye mashindano ya kimataifa?!!!!
Asante ESS mjini kuko tulivu kabisa,na jana man u chali.ubingwa kuifunga mgambo na ruvu upeleke mpira tunisia?malaika wa wachawi labda ashuke.soka la bongo bado sana.mizengwe mingi mno.kama ligi ya mbuzi vile
tuache utani na ushabiki, Yanga wamecheza mpira mwingi sana na wanastahili pongezi na mapokezi ya kishujaa, laiti Etoile wasingebadili mikakati ya kujaza viungo wengi kipindi cha pili na lati Yanga wasingetumia nguvu (stamina) kubwa kipindi cha kwanza wenyeji wangepotea leo
lazima kuna kitu zaidi Yanga watakua wamejifunza katika kukabili Waarabu na hii ni kwa sababu mwakani ni wawakilishi wetu tena, ila kikosi hiki kiendelee isipokwa beki tatu inafaa kubadilishwa na kuwekwa mpambanaji na mwenye kujua majukumu yake uwanjani hasa kuisaidia timu wakati mgumu
Haya ndio mahaba niue, yanayoangamiza mpira wa inchi hii!!!, kitu cha mhimu hapa je malengo yamefikiwa?? kiwango cha yanga kwa mechi ya leo kilikuwa kizuri ila wamekutana na timu bora, lakini sio kutwambia eti wakapokelewe ki shujaa!!! kwa lipi? hapa ndipo tunapotiana ujinga. sisi tuendelee na ligi zetu tu lakini kwa level ya kimataifa bado sana,
.unaharibu sasa.umeanza vizuri unanitukana eti mimi mkia.not fare mkuu.ndondo ndio soka la bongo.ndala waje kucheza na mkuranga united hapo ngasa atapiiga kross.kwa waarabu thubutu.tukae mkuu hata vigodoro ni dili siku hizi.tucheze tunanyie ubingwa ambao mmekuwa mkiuota kwa misimu mitatu bila mafanikio niwakumfunga nani ndo mkaiwakilishe nchi? haohao mgambo Na stendi c Ndio wamewakalisha nyie mikia? au nyie wenzetu mpo ligi gani hapa bongo? Ndio maana haishangazi mikia kucheza ndondo Na timu Za maveterani wa kariakoo..mpaka umbumbumbu ukawaishie ni mda mrefu sana
Ahsante Yanga kwa kutufikisha hapa, bahati si yetu hii tunatoka tu. Ila mmecheza vizuri sana.
karibuni tena nyumbani...
Pole nifah zile zawadi, zimeyeyuka dear. Ila Masuke atakupoza zawadi hata ya wiki.
Na nyie mikia msijifanye ndiyo mnaanza kuongea, mjiulize nyie mko wapi???
alamsiki...
#teamyanga #