Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

kweli kaz ya kimataifa tuachien Simba,mabingwa wa kihistoria kagame
Akuachie nani!!! ninyi wenyewe hamtaki kufanya vizur katika ligi ya ndani ili mupate hiyo nafasi ya kutuwakilisha kimataifa, sasa unadhan nani atakuchia hiyo nafasi?! Labda itokee siku moja rais wa caf awe JAMAL MALINZI na katibu wake awe NICHOLUS MUSONYE wao wanaweza kuwapa nafasi ya kushiriki bila kuwa bingwa au makamu bingwa wa ligi kuu kama walivofanye kwenye kagame cup kuwaingizeni kupitia mlango wa nyuma.
 
najua tulitarajia makapu angerudi na kapu la magoli
Unaweza kuacha mlango wa nyumba bila kufunga ukajiunga na kundi la kumfukuza mwizi, ghafla unarudi nyumban unakuta watu wameshahama. Hicho ndicho kitakachokea leo saa 16:00 jioni manake viongoz wa simba, mashabiki na hata wachezaji nao wapo busy kuidadafua yanga na kusahau kuwa baadae wana majukumu ya kumfunga azam ili kuweka matumain ya kushika nafasi ya pili ili mwakani wakatuwakilishe vizur kwenye mashindano ya kimataifa?!!!!
 
kama ilivyokuwa kwenye mechi ya kwanza walikuwa bize Pale taifa wakiiacha simba ikitaabika ka mbaya city
 
Asante ESS mjini kuko tulivu kabisa,na jana man u chali.ubingwa kuifunga mgambo na ruvu upeleke mpira tunisia?malaika wa wachawi labda ashuke.soka la bongo bado sana.mizengwe mingi mno.kama ligi ya mbuzi vile
 
Kimsingi yanga ilicheza kwa ustadi mkubwa na walikuwa na spirit ya mchezo mapungufu yalikuwepo madogo hasa kwenye ushambuliaji hakukuwa na forcing poer katika kutafuta magoli. Makosa madogo madogo yaliyotokea kwenye safu ya ulinzi ndo yalitugharimu tukafungwa goli moja.
 
Asante ESS mjini kuko tulivu kabisa,na jana man u chali.ubingwa kuifunga mgambo na ruvu upeleke mpira tunisia?malaika wa wachawi labda ashuke.soka la bongo bado sana.mizengwe mingi mno.kama ligi ya mbuzi vile

nanyie ubingwa ambao mmekuwa mkiuota kwa misimu mitatu bila mafanikio niwakumfunga nani ndo mkaiwakilishe nchi? haohao mgambo Na stendi c Ndio wamewakalisha nyie mikia? au nyie wenzetu mpo ligi gani hapa bongo? Ndio maana haishangazi mikia kucheza ndondo Na timu Za maveterani wa kariakoo..mpaka umbumbumbu ukawaishie ni mda mrefu sana
 
tuache utani na ushabiki, Yanga wamecheza mpira mwingi sana na wanastahili pongezi na mapokezi ya kishujaa, laiti Etoile wasingebadili mikakati ya kujaza viungo wengi kipindi cha pili na lati Yanga wasingetumia nguvu (stamina) kubwa kipindi cha kwanza wenyeji wangepotea leo

lazima kuna kitu zaidi Yanga watakua wamejifunza katika kukabili Waarabu na hii ni kwa sababu mwakani ni wawakilishi wetu tena, ila kikosi hiki kiendelee isipokwa beki tatu inafaa kubadilishwa na kuwekwa mpambanaji na mwenye kujua majukumu yake uwanjani hasa kuisaidia timu wakati mgumu

mi nilifikiri simba wote ni mambumbumbu, kumbe wapo wachache wenye uelewa!!!!!....
 
Haya ndio mahaba niue, yanayoangamiza mpira wa inchi hii!!!, kitu cha mhimu hapa je malengo yamefikiwa?? kiwango cha yanga kwa mechi ya leo kilikuwa kizuri ila wamekutana na timu bora, lakini sio kutwambia eti wakapokelewe ki shujaa!!! kwa lipi? hapa ndipo tunapotiana ujinga. sisi tuendelee na ligi zetu tu lakini kwa level ya kimataifa bado sana,

sawa tumefungwa ila cha moto wamekiona....penye ukweli tuseme ukweli, yanga walicheza mpira mzuri na walimudu mchezo ila bahati haikuwa yao ni tofauti na wengi tulivyotarajia, hii ni kutokana na ubora wa etoile na historia yake kuwa nzuri kila idara ukilinganisha na yanga.
 
Tuacheni ujinga.... siku ya mwisho ktk historia itasoma ESS 1 YANGA 0 hayo ya kusema yanga ilicheza sana wala hayatakuwepo. Mpira ni Magoal na si pass wala chenga. so tuacheni kujipa moyo kwa namna yoyote. wenzetu walipata nafasi moja wakaitumia vizuri sisi tulipata kosa kosa. turudi tujifunze toka kwao. bahati mbaya ushindi ni ushindi tu hata kama ukiwa wa Goal moja au mia moja mwisho wa siku ni point 3. turudi tuangalie wenzetu wana nini ambacho kinatushinda pamoja na kusemekana kuwa na team nzuri team nzuri kwa ligi au ushindan upi? maana inawezekana tunahangaika na team kama za akina platnum ambazo hata huko kwao zinashika nafasi ya tano ktk msimamo tunapozifunga hizo tunajisahau, tunakuja dar tunazipiga team ZETU hizi zenye kujaa rushwa bao 10 tunasema tuna forward kali kumbe tayari tulishajua mevhi tutashinda bao ngap na akina nan washinde. wachejai wetu hawana nguvu, hiolo ni tatizo, hawana ujuz wa ziada. hawana nidhami ya mpira kitimu. hapa sizungumzii kupewa kadi nakadhalika. ni kucheza kitimu, kuelewana, kukabiana na kuachiana. otherwise kila siku tutaishia team hizi hizi za afrika kusini mwa jangwa la sahara hasa hasa afrika mashariki.
wachezaji wachache sana wanajua nini wanafanya. tuachanen na hbr nyingne za uongo uongo. kuwafunga waarab tena kwao ni ngumu. tulishafungwa toka mechi ya kwanza.... hawa jamaa walishatushinda kisaikolojia tulikuwa watumwa zaman mmesahau? baod hatuwezi washinda kwa sasa maana tu watumwa kiakili na ndo maana wanatunyanyasa sana ila wakija kwetu tunawapa mapumziko mazuri sana n.k
 
nanyie ubingwa ambao mmekuwa mkiuota kwa misimu mitatu bila mafanikio niwakumfunga nani ndo mkaiwakilishe nchi? haohao mgambo Na stendi c Ndio wamewakalisha nyie mikia? au nyie wenzetu mpo ligi gani hapa bongo? Ndio maana haishangazi mikia kucheza ndondo Na timu Za maveterani wa kariakoo..mpaka umbumbumbu ukawaishie ni mda mrefu sana
.unaharibu sasa.umeanza vizuri unanitukana eti mimi mkia.not fare mkuu.ndondo ndio soka la bongo.ndala waje kucheza na mkuranga united hapo ngasa atapiiga kross.kwa waarabu thubutu.tukae mkuu hata vigodoro ni dili siku hizi.tucheze tu
 
Ahsante Yanga kwa kutufikisha hapa, bahati si yetu hii tunatoka tu. Ila mmecheza vizuri sana.
karibuni tena nyumbani...

Pole nifah zile zawadi, zimeyeyuka dear. Ila Masuke atakupoza zawadi hata ya wiki.

Na nyie mikia msijifanye ndiyo mnaanza kuongea, mjiulize nyie mko wapi???
alamsiki...

#teamyanga #

Hebu mwambie nifah, anipm namba yake nimfae kwa kifurushi cha wiki kama pole na furaha yangu jana kumlaza njaa Azam.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom