Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Wadau hapa tutapata Live Update za Pambano la Yanga na waarabu kutoka Tunisa Pambano hili litakuwa hewani leo saa 3 usiku kwa saa za afrika mashariki na ya kati. hapa ndipo tutakata mzizi wa fitina baada ya dk 90 au 120 za kusukuma gozi. Matangazo haya yamewajia kwa hsiani ya Watu wa JAMII FORUMS. Kwa ushirikiano mkubwa na wadhamini wetu...


dk ya 35 ETOILE 1 SISI(YANGA) 0

Mungu bariki wawakilishi wetu
 
Safi sana yanga wametulia saivi mpira wanaoucheza ni mkubwa sana
 
Siwezi kuishabikia Yanga hata siku moja. Wapigwe tu warudi kununua mechi bongo
 
Kadi nyekundu! Mwarabu nje kwa kutaka kutuvunjia mchezaji wetu. Chance hii sasa.
 
Mimi sina wasi wasi najua yanga tutashinda tu
 
Yanga wana advantage ya kuwa zaidi kwa mchezaji mmoja.... ESS wamepungukiwa mchezaji mmoja baada ya kupewa za njano mbili na hatimaye nyekundu. tuitumie vizur nafasi hii watanzania.
 
Yanga sidhani kama watachomoka leo japo wanaonekana wanajitahidi.
 
Back
Top Bottom