Live Updates: Simba Sc-Wenye nchi tunaiweka nchi mbele

Kweli nyie hamuhitaji kuji bland
 
Wao wanainchi sisi ni wenye inchi!.
 
kumbe simba walishaachana na african carriers?....
basi ule mgogoro wa bus inawezekana kweli ulikuwepo, maana siioni logo ya african carriers hapo
Umeangalia vizuri kwenye bango la wadhamini ukamkosa?
 
"Timu yetu ya wanaume ipo katika timu 10 bora Afrika, timu ya wanawake ni ya nne Afrika na tukiwa na mitandao yenye nguvu Afrika, Tanzania tunaongoza."- CEO @imani_kajula

#WenyeNchi
#NguvuMoja
 
"Tunamshuru Mhe. Rais kwa kuturuhusu kuendelea kuitangaza nchi yetu. Naomba wanachama na wapenzi kuendelea kuombea timu yetu ili kufanya vizuri kwa kazi iliyo mbele yetu. Nawapongeza pia Vunja Bei kwa jezi nzuri."- Mwenyekiti wa klabu, Murtaza Mangungu.

#WenyeNchi
#NguvuMoja
 
kumbe simba walishaachana na african carriers?....
basi ule mgogoro wa bus inawezekana kweli ulikuwepo, maana siioni logo ya african carriers hapo
Simba wako makini sana ndugu yangu, tena hawa wadhamini wadogo wanafaidika zaidi ya pesa waliyotoa kwa kweli.
 
Misimu iliyopita Simba ilipoweka hiyo visit Tanzania ilipata faida gani?
Ukioa ukasomesha mdogo wa mkeo, hakuna faida unayotarajia zaidi ya kuimarisha uhusiano na mkeo. Faida waliyopata Simba kwa kutumia Visit Tanzania ni kulinda uhusiano na mdhamini mkuu, wakati huo akiwa ni SportPesa, maana yalikuwa ni matakwa ya mdhamini kuipa Simba maelekezo ya kuitumia Visit Tanzania
 
kumbe simba walishaachana na african carriers?....
basi ule mgogoro wa bus inawezekana kweli ulikuwepo, maana siioni logo ya african carriers hapo

Wahi hospitali kabla shida haijawa kubwa
 

Attachments

  • Screenshot_20230207-195535.png
    146.2 KB · Views: 1
Kumbe Yanga kuitwa timu ya Wananchi inawauma na mnatamani Simba ichukue iyo nafasi?? Duuuh mnashangaza sana
Inatuuma kivipi. Nimetoa tu opinion yangu binafsi, unadhani kila kitu kinaendeshwa na chuki tu?

Kiusahihi klabu kujiita timu ya wananchi siyo sahihi maana timu pekee ya wananchi ni ya taifa, kama lilivyo jeshi la wananchi, na mara ya mwisho kucheki timu ya taifa wachezaji wengi walikuwa wanatokea Simba!
 
Tunaishi nchi ya kibepari na mpira ni biashara. Inashangaza sana kuona watu wanatetea vilabu vitangaze utalii for free wakati huo huo vyenyewe vinalipishwa gharama kubwa kwenye kutumia viwanja vya uma ukiwemo uwanja wa taifa.

Halafu serikali hii imetenga bajeti, Kuna billions of money zipo kwa ajili ya kuutangaza utalii, Tunaona viwanja mbalimbali Ulaya utalii wa Tanzania ukitangazwa, hivi mnajua ni mabilioni mangapi serikali yetu inatoa huko? Kwanini msiyapate nyinyi?

Wapumbavu fulani wanaojifanya wazalendo uchwara
utawasikia eti tunatangaza utalii for free[emoji848]

Yaani hii klabu ya masikini ambayo hata bajeti yake tu kwa mwaka mmoja haijitoshelezi paka inakopeshwa fedha na mwekezaji ili iweze kujiendesha eti nao wanajitokeza kutangaza utalii bule[emoji848][emoji848] Utalii wa nyoko[emoji2959][emoji2959][emoji2959]

Hayo mapato yatokanayo na watalii yanainufaishaje nchi? Ninyi ndio mnaowasaidia hawa watawala wa CCM waendelee kuinyonya hii nchi!!!! bladfakeni
 
Thimba hawana akili
 
Mkuu unataka kweli twende huku?
 
"Kushirikiana na Simba itasaidia sana kuitangaza Tanzania."- Mwakilishi wa Bodi ya Utalii pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii, Bernard Mtatiro.

#WenyeNchi
#NguvuMoja
 
Tunaishi nchi ya kibepari na mpira ni biashara. Inashangaza sana kuona watu wanatetea vilabu vitangaze utalii for free wakati huo huo vyenyewe vinalipishwa gharama kubwa kwenye kutumia viwanja vya uma ukiwemo uwanja wa taifa.
Mkuu, unapopangisha kwa mdhamini sehemu ya kifuani ya jezi kwa ajili ya nembo yako, huna mamlaka nayo tena, anayo yeye. Options ni either akuchagulie nembo au aache pabaki wazi, lakini si wewe kupangisha mtu mwingine. Kwa hiyo huwezi kusema ni bure wakati kodi ulishakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…