Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Huyo ni Ahmed Ally, who is he?Hakuna cha precedence wala nini, jana Ahmed Ally amesema kwa miaka hii 5 ya mkataba na M-Bet hakai mtu mwingine kwenye kifua cha Simba zaidi ya M-Bet na Visit Tanzania. Kuwa surprised ndiyo, kila mtu amekuwa surprised ila tunakuwa surprised hata tukiona mtu anajisaidia haja kubwa hadharani.
Tatizo lililopo ni tofauti za kimtazamo wa jinsi mikataba inavyotakiwa kusimamiwa na kuheshimiwa na jinsi ya kujenga mahusiano kati ya B2B.
Hata huyo M-Bet anaweza kuondoka au kuondolewa kesho asubuhi, as long as taratibu zinafuatwa. He doesn't make business decisions na kuwekavisit Tanzania hakuamuliwi na M-Bet ni uamuzi wa pande zote mbili.
Usitake kutuaminisha, all of a sudden betting companies zote zinataka visit Tanzania kifuani. What if they want visit Burundi? Au visit Dubai? na kukawa na 50bn zimewekwa. You think all that money will go to Mbet? No, way!
Usiondoe uamuzi wa Simba kuweka visit Tanzania kifuani. Simba nao wapo kwenye equation, so if the money is right they can make other decisions too.