Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Sisi ni mashabiki tu masuala ya sheria tuwaachie waliobobea kwenye iyo taaluma. Sportpesa alitoa siku 3 yanga aondoe nembo ya mdhamini mpya siku 3 zimeisha na hakuna taarifa ya club iyosema kama iyo nembo imeondolewa wala hatujaona hatua zozote zilizochukuliwa na sportpesa tusubiri yanga anaanza mashindano jumapili tu hapo tuone kama hataingia uwanjani na jezi za mdhamini mpya na kama akiingia nazo tutaona sportpesa atachukua hatua gani. Ishu ya feisal hivi hivi mlijikuta wachambuzi wa sheria TFF ikatoa tamko feisal ni mchezaji wa yanga mkaumbuka. Wekeni akiba ya maneno ndugu zanguNakubaliana na wewe, waliharibu sana na utetezi wao ulikuwa dhaifu mno. Kwanza kwenye barua ya kiingereza maelezo yale hawakuyaweka.
Pia maelezo yao yanaonyesha kama vile SportPesa walikuja na wazo la Visit Tanzania baada ya mawazo mengine kushindikana wakati kama nakumbuka vizuri, SportPesa walisema hilo lilikuwa ni moja ya mawazo ya mwanzo yaliyokataliwa na Yanga.