Tunaishi nchi ya kibepari na mpira ni biashara. Inashangaza sana kuona watu wanatetea vilabu vitangaze utalii for free wakati huo huo vyenyewe vinalipishwa gharama kubwa kwenye kutumia viwanja vya uma ukiwemo uwanja wa taifa.
Halafu serikali hii imetenga bajeti, Kuna billions of money zipo kwa ajili ya kuutangaza utalii, Tunaona viwanja mbalimbali Ulaya utalii wa Tanzania ukitangazwa, hivi mnajua ni mabilioni mangapi serikali yetu inatoa huko? Kwanini msiyapate nyinyi?
Wapumbavu fulani wanaojifanya wazalendo uchwara
utawasikia eti tunatangaza utalii for free[emoji848]
Yaani hii klabu ya masikini ambayo hata bajeti yake tu kwa mwaka mmoja haijitoshelezi paka inakopeshwa fedha na mwekezaji ili iweze kujiendesha eti nao wanajitokeza kutangaza utalii bule[emoji848][emoji848] Utalii wa nyoko[emoji2959][emoji2959][emoji2959]
Hayo mapato yatokanayo na watalii yanainufaishaje nchi? Ninyi ndio mnaowasaidia hawa watawala wa CCM waendelee kuinyonya hii nchi!!!! bladfakeni