redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Tunakumbushana tu, wao waliwaona watu weupe ni Bora kuliko umoja wetu katika kutafuta uhuru, Waki itwa Simba inatosha mambo ya Nchi hii Asili yake ni Yanga.Mkuu unataka kweli twende huku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakumbushana tu, wao waliwaona watu weupe ni Bora kuliko umoja wetu katika kutafuta uhuru, Waki itwa Simba inatosha mambo ya Nchi hii Asili yake ni Yanga.Mkuu unataka kweli twende huku?
Msituharibie shughuli yetu. Kwani timu hazitakiwi kufanya shughuli za kijamii? Kwani jukumu la kwanza la raia/mwananchi si ni kulilinda na kulitetea taifa lake? Nyie wa kususa inamaana kesho tukivamiwa mtasema hamtalipigania kisa kuna JWTZ na nyie hamlipwi?Tunaishi nchi ya kibepari na mpira ni biashara. Inashangaza sana kuona watu wanatetea vilabu vitangaze utalii for free wakati huo huo vyenyewe vinalipishwa gharama kubwa kwenye kutumia viwanja vya uma ukiwemo uwanja wa taifa.
Halafu serikali hii imetenga bajeti, Kuna billions of money zipo kwa ajili ya kuutangaza utalii, Tunaona viwanja mbalimbali Ulaya utalii wa Tanzania ukitangazwa, hivi mnajua ni mabilioni mangapi serikali yetu inatoa huko? Kwanini msiyapate nyinyi?
Wapumbavu fulani wanaojifanya wazalendo uchwara
utawasikia eti tunatangaza utalii for free[emoji848]
Yaani hii klabu ya masikini ambayo hata bajeti yake tu kwa mwaka mmoja haijitoshelezi paka inakopeshwa fedha na mwekezaji ili iweze kujiendesha eti nao wanajitokeza kutangaza utalii bule[emoji848][emoji848] Utalii wa nyoko[emoji2959][emoji2959][emoji2959]
Hayo mapato yatokanayo na watalii yanainufaishaje nchi? Ninyi ndio mnaowasaidia hawa watawala wa CCM waendelee kuinyonya hii nchi!!!! bladfakeni
Tutalirudia hili suala wakati mwingine, ngoja tuenjoy shughuli yetuTunakumbushana tu, wao waliwaona watu weupe ni Bora kuliko umoja wetu katika kutafuta uhuru, Waki itwa Simba inatosha mambo ya Nchi hii Asili yake ni Yanga.
role ya kwanza ya klabu ya soka ni kucheza mpira, sio kutafuta uhuru wa nchi 😁Tunakumbushana tu, wao waliwaona watu weupe ni Bora kuliko umoja wetu katika kutafuta uhuru, Waki itwa Simba inatosha mambo ya Nchi hii Asili yake ni Yanga.
Ok, Endeleeni tunawatakia kheri.Tutalirudia hili suala wakati mwingine, ngoja tuenjoy shughuli yetu
Simba ndio timu ya kwanza kucheza mechi ikiwa imevaa viatuIli kuonyesha Serikali inajali mchango wa Yanga katika kupigania uhuru wa nchi hii ilitakiwa fedha zote ziwe na Logo ya Yanga.
Yanga ilikua ikitumia mapato yake baada ya mechi kufadhiri shughuliza TANU wakati wa kupigania uhuru.
Uyu ndie mbumbumbu ninaye mfahamu katika ubora wake.role ya kwanza ya klabu ya soka ni kucheza mpira, sio kutafuta uhuru wa nchi [emoji16]
Uhuru ulishapatikana, endelea kupigania demokrasiaUyu ndie mbumbumbu ninaye mfahamu katika ubora wake.
Unawezaje kuandika article ndefu halafu ukakosa uelewa wa mambo madogo? Umenikumbusha shuleni unakuta jamaa kajaza booklets anakula 10% wewe pages 3 unakula 80%.Tunaishi nchi ya kibepari na mpira ni biashara. Inashangaza sana kuona watu wanatetea vilabu vitangaze utalii for free wakati huo huo vyenyewe vinalipishwa gharama kubwa kwenye kutumia viwanja vya uma ukiwemo uwanja wa taifa.
Halafu serikali hii imetenga bajeti, Kuna billions of money zipo kwa ajili ya kuutangaza utalii, Tunaona viwanja mbalimbali Ulaya utalii wa Tanzania ukitangazwa, hivi mnajua ni mabilioni mangapi serikali yetu inatoa huko? Kwanini msiyapate nyinyi?
Wapumbavu fulani wanaojifanya wazalendo uchwara
utawasikia eti tunatangaza utalii for free[emoji848]
Yaani hii klabu ya masikini ambayo hata bajeti yake tu kwa mwaka mmoja haijitoshelezi paka inakopeshwa fedha na mwekezaji ili iweze kujiendesha eti nao wanajitokeza kutangaza utalii bule[emoji848][emoji848] Utalii wa nyoko[emoji2959][emoji2959][emoji2959]
Hayo mapato yatokanayo na watalii yanainufaishaje nchi? Ninyi ndio mnaowasaidia hawa watawala wa CCM waendelee kuinyonya hii nchi!!!! bladfakeni
Wewe bado mchanga, aya mambo inabidi nikae na wakina Mzee Kilomoni kidogo na wakina kaduguda wanaweza kuwa Wana nielewa.Simba ndio timu ya kwanza kucheza mechi ikiwa imevaa viatu
Simba ndio timu ya kwanza kuvaa jezi
Simba ndio timu ya kwanza kumiliki basi lake
Hizo hela unazodai Yanga walikuwa wakizitumia kwenye mambo ya uhuru walizitoa wapi kama kwenye mechi tu walishindwa kumudu gharama za jezi walikuwa wanacheza matumbo wazi?
Elezea namna mlivyo influence kwenye kuipatia nchi uhuru?Wewe bado mchanga, aya mambo inabidi nikae na wakina Mzee Kilomoni kidogo na wakina kaduguda wanaweza kuwa Wana nielewa.
Vitu vingine kama huvielewi ujue sio saaizi Yako wapo watu wanaelewa nilicho andika wewe soma viache, wenyekuelewa wanaelewa mwishowe utakukituko kujibu usivyo vifahamu.
Kwahiyo wana yanga wote ni wana CCM? Akili yako muflisi sanaYanga ndio wananchi hawaitaji kuji bland popote, walio anzisha TAA, TANU, CCM, SIMBA, RED STAR n.k ao wote wametoka katika viuno vya Yanga.
Yanga ata isipovaa jezi zenye nembo ya Visit Tanzania, uzalendo wa Yanga kwenye nchi hii haupimwi Kwa jezi Bali kupigania uhuru wa Tanzania na nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara. Harakati nyingi za ukombozi wa kusini zilifanyika pale Jangwani.
Simba ilizaliwa baada ya baadhi ya waliokua wanachama wa Yanga kurubuniwa wajiondoe kwenye timu(Yanga) Ili kusaliti vuguvugu la kupambania uhuru wa nchi hii.
Wahindi na waarabu ambao walikua watawala baada ya Mwingereza na raia daraja la pili baada ya mkoloni(Mwingereza)walitumika kuwarubuni wanachama ao waliokua wa Yanga Kwa zawadi ya viatu baadae jezi Ili wajiondoe ndani ya Yanga na walifanikiwa.
Baada ya kufanikiwa kujiondoa Yanga wakapewa viatu vya kuchezea mpira na kuanzishwa timu Yao iliyayo itwa queen [emoji146] Kwa kumfurahisha Mtawala mwingereza.
Yanga ndio nchi, Yanga ndio Wananchi, itabaki hivyo siku zote ndugu wasaliti mbumbumbu fc.