Live Updates: SIMBA Sports Club vs TP Mazembe

Live Updates: SIMBA Sports Club vs TP Mazembe

Tehetehe leo inakuwaje mnyama kapakatwa mapeeeema!!!!
 
Tatizo letu mashabiki wote kimya badala ya kuendelea kushangilia!
 
Vp tena mnyama simba kageuka paka! Haya sasa pigeni 4-1 mpite au 3-1 mpigiane penati
 
Leo ndio leo asiye na mwana(kandambili) abebe jiweee,
iwe isiwe lazima kombe linyakuliwee,
hii ni mechi kali ,
kati ya mnyama na timu tp wazembe,
mechi inachezwa leo jumapili tr 03/04/2011

Simba Koko kabong'oa mapemaaaaa....
teh teh mbogho kitee fasi ya kuyamba...myuuuuu
 
Kwenye soka lolote linawezekana, ila Simba wana hali ngumu zaidi mpaka sasa
Its Half time Simba 0 - 1 TP Mazembe
 
Back
Top Bottom