Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwezekana hilo yatosha..................Wajitahidi watoe ndroo tuu sasa
Tunatosheka na afadhali ndugu.......Goli sita kwa mpira wa Tz sahau ndugu yangu labda yatokee maajabu, na kwa nini ungoje maajabu wakati wenzako wanafanya vitu asilia??
We sokwe acha ushabiki wa kijinga, suport team ya taifa lako. unatembea na limama la kikongo unataka kuliridhisha unaishia kudhalilisha taifa zima!musiseme tena kuwa mu congo kunatoka muziki pekee, biko na bingine tunawezaga