Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game over Simba 2 TP Mazembe 3(Aggregate TP Mazembe 6 Simba 3).
Hongereni Simba kwa kufa kiume....lol
Bye bye
Kuna watu wengine bwana wanaicheka Simba wakati wanatolewa na Ma bingwa watetezi huwezi kufananisha na kutolewa na Ki timu cha Ethiopia nani Tena alitolewa na timu ya Ethiopia?
Simba wamejitahidi sana. Bora kutolewa na club iliyocheza fainali ya ubingwa wa dunia (kwa margin ndogo kama hii) kuliko kutolewa na timu inashoshika nafasi ya 6 kwenye ligi ya Ethiopia.
Simba wamejitahidi sana. Bora kutolewa na club iliyocheza fainali ya ubingwa wa dunia (kwa margin ndogo kama hii) kuliko kutolewa na timu inashoshika nafasi ya 6 kwenye ligi ya Ethiopia.
Goli ni goli tu muraaa.....Liwe la bafuni,chooni,jikoni,chumbani.......ni goli tu.......Kubalini kufungwa,msianze mambo ya oooh bora sisi tumetolewa na TPM na Yanga wametolewa na Ethiopia........Hivi mlitegemea mngewatoa Les Tout Puisant Mazembe Englebert bana ba Lubumbashi????...........Thubutuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!
Am so surprised kuona baadhi yetu eti wanashangazwa na matokeo haya.
Baadhi yetu huko nyuma tulisema (na ndio ukweli):
1. there's a massive gulf in quality btn the 2 sides. Siongelei kupasiana kwani hata Arsenal na Virareal wanaweza sana!
2. inahitaji sanity check kwa yeyote aliyefikiria eti akina Nyoso watawasimamisha TPM
3. Rage anachangia sana kupoteza focus kwa porojo zake za ki-CCM
4. porojo za Rage zinaweza hata kuwakosesha Simba ku-retain VPL title
Balantanda, hapa issue ni nani kaaibisha zaidi ya mwenzake ... na jinsi historia itakavyoandikwa
Balantanda, hapa issue ni nani kaaibisha zaidi ya mwenzake ... na jinsi historia itakavyoandikwa
Aibu ni aibu kaka
Zinazidiana mkuu ..
Balantanda, hapa issue ni nani kaaibisha zaidi ya mwenzake ... na jinsi historia itakavyoandikwa
we wee,si heri rage anashika manne lakin sio nchunga anaharibu timu,kila siku ni vurumai tu clabun,mfukuzen huyo jamaa,msipojiangalia mtabak mnaongea wee,lakin tmu inaoza,fukuza nchunga,tafta wadhamin madhubuti!True kabisa. Rage anawapoteza, kila kitu anataka yeye, mara uongozi tff, Uenyekiti tff mkoa tabora, Ubunge, Uenyekit simba: Mshika manne matatu humponyoka. Simba fanyeni Uchaguzi wa mkiti, jamaa atawalostisha. JK alimshauri mapema.
True kabisa. Rage anawapoteza, kila kitu anataka yeye, mara uongozi tff, Uenyekiti tff mkoa tabora, Ubunge, Uenyekit simba: Mshika manne matatu humponyoka. Simba fanyeni Uchaguzi wa mkiti, jamaa atawalostisha. JK alimshauri mapema.
Poleni SSC kwa kibano! Subirini ushindi wa mezani kutoka CAF.
Nijuavyo mimi hata kama TP wakifungiwa faida itaenda kwa timu watakayo kutana nayo next round, kwani simba imetolewa tayari