Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Piga lapili haooooioohhhh. Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh
 
Tambwe anapiga penati...

Anapiga...Gooooooal

Simba 2-0 Yanga
 
Huku Ngasa, kule Okwi, hapa Niyonzima, pale Kiiza.
 
yanga bana makelele yopte yale kumbe hawajui
 
Kaseja atatimuliwa eti anakwepa mpira. Leo zipo tano.
 
Cannavaro anachemka kule nyuma kwa Yanga na kiungo kimekufa kabisa

Dakika ya 45

Simba 2-0 Yanga
 
Dk 45
MTANI JEMBE,

Simba 2-0 Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…