Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zitarudi kipindi cha pili..Simba 2-0 Yanga, loo wametuweza.
Halafu ndo wanaandaa timu ya kucheza na Al-Ahly.Yanga hamna kituuuuu, Simba 2-0 Yanga.
SimbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhGoooooh,goooh Tambeeee
labda itakuwa ya yanga kwennye ligi..Huku Ngasa, kule Okwi, hapa Niyonzima, pale Kiiza.
Kaseja atatimuliwa eti anakwepa mpira. Leo zipo tano.