Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

MTANI JEMBE, Simba 2-0 Yanga

mapumziko
 
Dk 45
MTANI JEMBE,

Simba 2-0 Yanga
Kama ubora wa timu unapimwa kwa mashabiki kupiga kura basi Yanga ni timu bora Tanzânia. Lakini ikiwa ubora wa timu upo uwanjani basi Simba ni zaidi ya Stars. Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh
 
Ombi...jaman pale pa mke wangu wekeni nam bet housegirl wetu
 
Kuna watangazaji star tv wanazi wa Yanga leo kimewapata hawana raha! ptuu!mzee wa azo mataa azo kitaa leo ni kipigo tuu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…