Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
Simba 2-0 Yanga, loo wametuweza.
ginehe nkoiii...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba 2-0 Yanga, loo wametuweza.
siku zote mpira si makelele na matusi mliokuwa mkitoa, ngoja mkomeshwe.Simba 2-0 Yanga, loo wametuweza.
Tatizo mnasajiri majina badala ya kusajiri wachezaji.Simba 2-0 Yanga, loo wametuweza.
Kweli kabisa,namkumbuka alipiga klosi ikamkuta Ian Mancz akamtungua Tony Silva wa SenegalUmmit Davala alinyoa kiduku mwaka 2002...
hii yanga leo sijaona wanachofanya, kuanzia nyuma hadi mbele, sijui wachezaji walilala wapi..Cannavaro anachemka kule nyuma kwa Yanga na kiungo kimekufa kabisa Dakika ya 45 Simba 2-0 Yanga
Nao Simba wasije wakawa kama Yanga mechi iliyopita, ambapo walienda kwenye vyumba vya mapumziko wakawa wanaimba nyimbo za kupongezanaHalf Time
Simba 2-0 Yanga
Kama ubora wa timu unapimwa kwa mashabiki kupiga kura basi Yanga ni timu bora Tanzânia. Lakini ikiwa ubora wa timu upo uwanjani basi Simba ni zaidi ya Stars. SimbaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhDk 45
MTANI JEMBE,
Simba 2-0 Yanga
Dk 3 nyongeza
hawa sio simba. Hawana ubavu wa kurudisha.zitarudi kipindi cha pili..