Weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa simbaaaaaaaaa oh mamama
Pole Kaseja kama hujafukuzwa kweli, ngoja tuone.
Viwango vya wachezaji wa Bongo huwa vinapanda na kushuka mechi hadi mechiHuyu Amri Kiemba ni wa Ulaya kabisa..Sijui kwa nini bado yupo Bongo
La tatu...
Ujue najisikia uchungu sana,halafu kaseja anafanya makusudi huyu mtu mimi nasemaga kila siku ni simba damu kwanini match kama ya leo asipigwe chini?
Gamba wewe ndio mnaoitia mikosi timu yetu, rangi ya njano imelaaniwa mpaka mbinguni.
Updates:
Hadi Mapumziko: Simba 2 - 0 Yanga
Dk 50: Simba 2 - 0 Yanga
Dk 63: Simba 3 - 0 Yanga