Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Kikosi bora kabisa cha Simba kinacheza na kikosi cha hovyo kabisa cha Yanga...

Simba ni mtani JEMBE...

Poor Kaseja...
 
Lazma Leo huu utan wa simba na yanga uishe waache kutaniana tumechoka utan wao wa kila siku
 
Ujue najisikia uchungu sana,halafu kaseja anafanya makusudi huyu mtu mimi nasemaga kila siku ni simba damu kwanini match kama ya leo asipigwe chini?


unajisikia uchungu? wahi amana kajifungue
 
Leo ni Leo lazima wakimbie!Simba nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Kaseja leo katuuza this time aondoke kabisa hana tena ubunifu golini
 
Okwi, Kaseja na Yondani walisajiriwa kufuta aibu ya goli tano, ngoja tusubiri labda watafuta.
 
Back
Top Bottom