Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ujue najisikia uchungu sana,halafu kaseja anafanya makusudi huyu mtu mimi nasemaga kila siku ni simba damu kwanini match kama ya leo asipigwe chini?
Kaseja hana kibarua..
Atauawa aisee...!
Viwango vya wachezaji wa Bongo huwa vinapanda na kushuka mechi hadi mechi
They Don't believe in Panicking
Kwani pale benchi yupo kipa gani? Kwa nini asianze kupasha? Huyu mzungu anataka kupigwa mangumiKaseja hana kibarua..
Kama ulikua hunijui mimi ndo chadema halisi wewe uko upande gani?chadema chumbani au mamluki au sebuleni au tengeru kwa mtei?
Namchukia Sana Kaseja!