Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Sina shaka kabisa matokeo nayapata hapa

Simba Sports Club vs Yanga Sports Club

Tuvumiliane ndiyo haki ilivyo,ndgzangu maana haki inachomachoma. Mmh ndy ukweli Yanga imepigwa 3 o'clock
 
Wataalamu wa soka naomba kuuliza ivi kenye soka sheria ya manunuzi ya umma haitumiki? Maana naona magolikipa wa timu zote mbili ni used
 
dah! Sjui nakatzaje mtaani kama mambo yataendelea hivi
 
Hivi yule aliyepokelewa airport kwa mbwembwe ameingia kweli, mbona haonekani?

Okwi wa sasa si kama yule wa enzi zile...

Kiwango chake cha kawaida sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…