Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Okwi wa sasa si kama yule wa enzi zile...

Kiwango chake cha kawaida sana...
Hata mimi nilivyomuona kwenye kombe la Challenge, sikuona thamani yake kuweza kufikia kuikomba Yanga sh. milioni 355
 
Hongereni Simba mpira wenu mzuri,ni halali yenu kushinda zaidi ya tatu.

Yanga imeniangusha sana leo.!!
 
Nilisema mabeki wenu leo watifuane, unamwona Yondani anavyopandisha mabega.
 
Okwi bado yuko fit...Ni muda tu..

Naomba kujuzwa,hivi mshindi wa mechi hii ya leo anapata zawadi gani?
 
Merry Christmas and Happy New Year 2014
Kwi kwi kwi ha ha ha !! Oops !
Yule Steve wa Yanga leo sijui atakuwa mgeni wa nani maana lazima alie sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…