Zahor Salim
Member
- Sep 1, 2010
- 29
- 9
bado ngapi kumaliza mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kavue jezi !!!
Hata mimi nilivyomuona kwenye kombe la Challenge, sikuona thamani yake kuweza kufikia kuikomba Yanga sh. milioni 355Okwi wa sasa si kama yule wa enzi zile...
Kiwango chake cha kawaida sana...
Simba haoooooo!!!
Nasema ukweli,mpira wa simba na yanga umejaa ushirikina tu! Hakuna ujuzi wala nini!
Brabdts anatia huruma...
kanichefua kweli kweli.
Simba mmejitahidi kuloga
Hivi Okwi yupo?