Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Stori za mtaani.Ulizia historia ya timu hizi kwa wazee wa zamani sio kwa akina Hemed Kivuyo.... Kwa taarifa yako, huu mpira unaouangalia leo,umechezwa jana usiku huko Kilwa Pande, hapo mnaangalia recorded!
Updates:
Hadi Mapumziko: Simba 2 - 0 Yanga
Dk 50: Simba 2 - 0 Yanga
Dk 63: Simba 3 - 0 Yanga
Sipati picha siku mkikutana na Al-Ahly.
Mpira uishe, Simba ni 'Mtani Jembe'.