Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Ulizia historia ya timu hizi kwa wazee wa zamani sio kwa akina Hemed Kivuyo.... Kwa taarifa yako, huu mpira unaouangalia leo,umechezwa jana usiku huko Kilwa Pande, hapo mnaangalia recorded!
Stori za mtaani.
 
Yondan Red card

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Last time YANGA walipokuwa wanaongoza 3-0 SIMBA tulisawazisha, why can't they do the same? Watatukoma leo!
 
MPIGWE tu yanga mpigwee tuuuuuuu! Na mikadi myekundu juuu! Hahahaha! Yanga hovyooooo!
 
Yandani anamshika jezi Mesi akipiga tobo,kala kadi 2 njano ouut.anatoa dole la kati,------- huyu
 
Yondan anaonesha kidole cha kati washabiki wa simba! Anatupa jezi ya Yanga!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sipati picha siku mkikutana na Al-Ahly.

Nadhani timu itakuwa imetulia...Watakuwa wameelewana tofauti na hii ya sasa...Hata 2nd leg na Simba timu itakuwa imetulia..

Haya mshindwe nyinyi sasa Yondan kalambwa red..
 
Daah...Yondan kelvin anatoreshwa nje kizembee...wachezaji wa bongo bana they are not mature
 
mtoto(Singano) ana mchezesha makida Yondani mpaka anaambulia kadi Nyekundu....duh dogo ni balaa.
 
Back
Top Bottom