Kwa lugha nyingine ni kwamba kama wangekuwa hawajatangulia siku ile, huenda ingekuwa kama leoLast time YANGA walipokuwa wanaongoza 3-0 SIMBA tulisawazisha, why can't they do the same? Watatukoma leo!
mASHABIKI WA YANGA WANASEPA
Huyu Yondani, Canavaro na Kaseja wameuza timu kabisa. Hata Bin Kleb nina wasiwasi naye, tangu lini waarabu na wahindi wakawa washabiki wa Yanga?Daah...Yondan kelvin anatoreshwa nje kizembee...wachezaji wa bongo bana they are not mature
MPIGWE tu yanga mpigwee tuuuuuuu! Na mikadi myekundu juuu! Hahahaha! Yanga hovyooooo!
Hata mimi nilivyomuona kwenye kombe la Challenge, sikuona thamani yake kuweza kufikia kuikomba Yanga sh. milioni 355