Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Last time YANGA walipokuwa wanaongoza 3-0 SIMBA tulisawazisha, why can't they do the same? Watatukoma leo!
Kwa lugha nyingine ni kwamba kama wangekuwa hawajatangulia siku ile, huenda ingekuwa kama leo
 
Kama ambavyo watambaji walisema, ukiona ndala ya moja ya njano na suruali ya kijani ikiwa imechanwa vipande vipande...bila shaka tambua kwamba Mnyama Simba amepita mtaa wa jangwani na kupata kitoweo. Swali lililosumbua vichwa vya wengi mwaka 2013 nimepata taarifa kwamba limepata jibu.Nani mtani jembe?
 
Jezi ya Yondani inachanwa chanwa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mwekundu nipo hapa nje kwako nasubiri dakika 90 ziishe nijichukulie mke.
 
Last edited by a moderator:
Ngapi ngapi jamani?

mi niko msimbazi huku hakuna network.
 
Timu inaitwa Simba, halafu ina kiongozi mmoja anaitwa malkia wa nyuki, sasa sipati picha ushirikiano wa Simba na nyuki wanapoamua kufanya mambo.
 
Daah...Yondan kelvin anatoreshwa nje kizembee...wachezaji wa bongo bana they are not mature
Huyu Yondani, Canavaro na Kaseja wameuza timu kabisa. Hata Bin Kleb nina wasiwasi naye, tangu lini waarabu na wahindi wakawa washabiki wa Yanga?
 
Ramadhani Singano lazima awe MAN OF THE MATCH.....ila akipatiwa BABA UBAYA si mbaya pia
 
Hata mimi nilivyomuona kwenye kombe la Challenge, sikuona thamani yake kuweza kufikia kuikomba Yanga sh. milioni 355

Naam kiwango chake kilikuwa cha kawaida sana maana hata nafasi nyingi za muhimu zilikuwa zikipikwa na Kiiza au Sserunkuma...

Hapo kwenye habari ya pesa naona kama umeweka kiwango kikubwa sana...
 
Back
Top Bottom