Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Team yanga,ifunge simba 3 bila warudi kwao msimbazi wakauze juicy
 
Rangi ya Yanga huwa inaupendezesha sana Uwanja wa Taifa.
 
Nisikitika kuwatangazia mdau mwenzetu KITOABU leo hatutakua nae, wameshampa haki yake mapemaa.
 
Makepteni
Simba - Henry Joseph
Yanga - Nadir H. Cannavaro
 
...naaam, Wadau wote wa JF: KURA IMEPIGWA TAYARI HAPA UWANJA WA TAIFA.
 
Hawa Simba hawamalizi matambiko yao tuu.
 
...wakati wowote mpira unaweza kuanza...
 
Leo yanga asiposhinda naachana na mama watoto ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…