Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii pistol yaliyomkuta mabana mwanachama mwenzake kayasahau?Duh! Ana binduki!
...aaah! kumbe ni mshabika na mpenzi wa...!
![]()
Saa kumi. Star tv wako live.kwani mpira unaanza saa ngapi kwa hapa Afrika Mashariki?????????
BAN imeshatembea nini?Nisikitika kuwatangazia mdau mwenzetu KITOABU leo hatutakua nae, wameshampa haki yake mapemaa.
Mkuu timu ya wananchi ndio kila kitu.....mbele daima nyuma mwiko.!!Mkuu idawa kumne na wewe nimwa huku?!
Simba hata akonde vipi hawezi kuwa paka.wachezaji wa simba wamekondeana dahh