Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Team yanga,ifunge simba 3 bila warudi kwao msimbazi wakauze juicy
 
Rangi ya Yanga huwa inaupendezesha sana Uwanja wa Taifa.
 
Duh! Ana binduki!
...aaah! kumbe ni mshabika na mpenzi wa...!

attachment.php
Hii pistol yaliyomkuta mabana mwanachama mwenzake kayasahau?
 
Nisikitika kuwatangazia mdau mwenzetu KITOABU leo hatutakua nae, wameshampa haki yake mapemaa.
 
Makepteni
Simba - Henry Joseph
Yanga - Nadir H. Cannavaro
 
...naaam, Wadau wote wa JF: KURA IMEPIGWA TAYARI HAPA UWANJA WA TAIFA.
 
Hawa Simba hawamalizi matambiko yao tuu.
 
...wakati wowote mpira unaweza kuanza...
 
Back
Top Bottom