Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Wachezaji wetu wana papara sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma post za nyumaNaomba link inayoonyesha hii game ...kwa sisi tulio nje ya nje
ahahahahaha mkuu acha hizo basiHii game ikiisha tutatumia kale kamsemo ketu 'kufungwa tumefungwa lakini chenga twawala'
Vijana wanajiamini, wako vizuri, huchoki kuwatazamaGame inavutia sana kwa kweli na soon waarabu wataenda kuokota mpira kwenye nyavu zao.
Nje ya nje ndio wapi mkuu?Naomba link inayoonyesha hii game ...kwa sisi tulio nje ya nje
Cha kwanzaahahahahaha mkuu acha hizo basi
Hiyo saa 10 (au 11) ni saa ya Misri au ya Tanzania?Kuna tofauti ya saa nzima kati ya Misri na EAT.Acha kusoma magazeti ya udaku mkuu.