Live updates :Taifa Stars vs Misri leo tar 04:06:2016

Salah ni size ya defence za timu za Serie A, siyo ligi hii ya malinzi
 
Wakuu eeh, hivi mmemuona vizuri huyu refa wa leo makalio yake?
Naona amevimba so isije kua ni chanzo cha Stars yetu kufungwa..
Ila ni wazo langu tu jamani...... πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
SAMATTA AWAAMBIA WATANZANIA; "NJOONI MUONE TUNAVYOCHINJA MAFARAO KESHO"

Posted by: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE Posted date: Friday, June 03, 2016 / comment : 0



Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Samatta amewakaribisha Watanzania kuishangilia timu yao ya taifa kesho dhidi ya Misri katika mchezo wa Kundi G kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), mwaka 2017 Gabon.
Samatta aliyejiunga na kambi ya timu hiyo kwenye Hoteli ya Urban Rose, iliyoko katikati ya jiji la Dar es Salaam, kabla ya kufanya na mazoezi na wenzake kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam aliwaambia waandishi wa habari na washindi wa promosheni ya Bia ya Kilimanjaro wanaodhamini timu hiyo kuwa shabiki ni mchezaji wa 12 katika kuleta hamasa ya ushindi.
β€œMimi ningependa kuwakaribisha mashabiki wote wa soka kuja uwanjani kwa ajili ya mchezo huu,” alisema Samatta ambaye ni nahodha wa Taifa Stars anayekipiga Klabu ya Genk ya Ubelgiji. Aliyasema hayo Jumatano jioni Juni 2, 2016 kabla ya mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya timu hiyo.

Mbwana Ally Samatta amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kesho Uwanja wa Taifa

Kwa upande wake, Kocha Mkuu wa Taifa Stars, alisema kwamba kikosi chake kimekamilia kwa wachezaji wote kuwa katika ari ya mchezo na kwamba hakuna majeruhi yanayoweza kumzuia hata mmoja wa wachezaji wake kuitumikia timu yake hapo kesho.
 
Uko sahihi mkuu, ona wachezaji hawana morari kabisa. Wanacheza bora liende tu. Wamemfanyia figisu kanavaro, wakanyang'anya ukepten kinyemela, leo eti wanambembeleza aje acheze mechi kama ya leo. Namsifu kwa kuwatosa. Malinzi muhuni sana.
....majungu ndio fani yetu kudadeki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…