Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamoja hapa natamani taifa staz ipigwe hata 6 ili watu wapate akili wasiendeshe soka kimazowea.Safi sana Farao
mambo ya kanavaro au sio?Itakua ni laana ya kapten wa zamani labda... 🙂🙂🙂
Kama kawaida uwendawazimu hautaisha mpaka mfumo wa uongozi tff ufumuliwe na kusukwa upya.
Game inavutia sana kwa kweli na soon waarabu wataenda kuokota mpira kwenye nyavu zao.
Kwa timu hii usitegemee kufutwa machozi.!Hivi ni lini taifa star ikatufuta machozi, kila wakati ni maumivu tu
[emoji27] [emoji27] [emoji27] mweeeehhh
Mhmhmh vepe baba, unaota jioni hiviMisri gooooooo!
Mohamed anaiandikia Misri bao safi sana la pili.
Tuendelee.
Hahahaah......sijui presha ya mechi.!Kapten mpya kapaisha juuuuuu 😀
😀😀

....majungu ndio fani yetu kudadeki..Uko sahihi mkuu, ona wachezaji hawana morari kabisa. Wanacheza bora liende tu. Wamemfanyia figisu kanavaro, wakanyang'anya ukepten kinyemela, leo eti wanambembeleza aje acheze mechi kama ya leo. Namsifu kwa kuwatosa. Malinzi muhuni sana.