OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jamaa katia nondo tupu
First eleven wanyama wakali watupunondo gani
Kamal 10mm, we unajua nondo ganinondo gani
Hilo ni jibuNimesikia YouTube ya Simba watarusha pia
Kwa ‘Caliber’ ya Songo bora Kanda aanzie nje ili Kiungo kiwe na uwiano sawia.Ningependa Deo Kanda aanze,ammiminie Kagere maji