OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #21
Timu zinaingia uwanjaniMechi inaanza sangapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu zinaingia uwanjaniMechi inaanza sangapi ?
Mbona huleti updates MkuuDakika 4, Songo 0-Simba 0
Mpira umetulia
Mjomba mbona unatudanganya wanamsimbazi ,hiyo channel mbona haioneshi sie tupo chaka uku
Hivi nyie Mikia mbona mnapenda kutuiga sana? Tulianza kujiita Wa Kimataifa mkaiga tukawaachieni, leo hii tumekuja na Timu ya Wananchi mmeiga pia. Umizeni vichwa mbumbumbu nyie.
Nimeamin kweli vyura hamna akili, tena gongo wazi kabisaHivi nyie Mikia mbona mnapenda kutuiga sana? Tulianza kujiita Wa Kimataifa mkaiga tukawaachieni, leo hii tumekuja na Timu ya Wananchi mmeiga pia. Umizeni vichwa mbumbumbu nyie.
Nani anaongoza?Hizi takataka ndio zikacheze na kina wydad??
Ahsante sana chura mkuu... Umeshataga?All the best UD Songo
Hivi nyie Mikia mbona mnapenda kutuiga sana? Tulianza kujiita Wa Kimataifa mkaiga tukawaachieni, leo hii tumekuja na Timu ya Wananchi mmeiga pia. Umizeni vichwa mbumbumbu nyie.