Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaongea tu ukweli ligi ndo zimeanza si mlikuwa mnajificha kwenye mgongo wa yangaLeo simba wanacheza mpira wa kijinga sana huu.
Hapo midfield wamtoe Mkude au huyo Msudani wanapoteza mipira kijinga kijinga sana.
Mara hii tu ushakuwa kocha??😊😊😊Toa Mkude ingiza Mzamiru/Fraga Vieira
Toa Bocco ingiza Deo Kanda
Toa Gadiel ingiza Zimbwe
Ndio ndio...na wale wasipopewa taarifa mapema wataingia kingi,wazee wa spray sio kabisaWanawavizia wakija taifa wawanyuzie mambo flan
Kwakweli tumepwaya na sijui ni kwanini, wachezaji wamekuwa wazito ni kama hawana mazoezi kabsa
Si waweke jino bandia?Pengo la Kotei
Kwani kikosi sio kipana tenaPengo la Kotei
Leo hii simba majigambo yote ndo mumekuwa wakubwabwaja hiviPengo la Kotei
@aka frog big!Ahsante sana chura mkuu... Umeshataga?
[emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mara hii tu ushakuwa kocha??[emoji4][emoji4][emoji4]