Live Updates: UD Songo Vs Simba SC, CAF Championship

Live Updates: UD Songo Vs Simba SC, CAF Championship

Wapinzani wana press sana viungo wetu hawapati muda wa kukaa na mpira
 
Leo simba wanacheza mpira wa kijinga sana huu.
Hapo midfield wamtoe Mkude au huyo Msudani wanapoteza mipira kijinga kijinga sana.
Mtaongea tu ukweli ligi ndo zimeanza si mlikuwa mnajificha kwenye mgongo wa yanga
 
To be honest hii timu inacheza vzr sana kuna jamaa anaitwa banda na King na huyu keptain wao wanapiga mpira mkubwa ila umaliziaji wao ni mbovu kuliko panya wa lumumba. Kama simba mpira mnaocheza ndio huu basi kuna baraa kubwa linakuja kuwakuta mechi ya marudiano.
 
Jitadiin watan zetu mpate bao moja ugeneni ili kazi ije iwe rahis hapa home
 
Hivi mfano simba akafungwa game ijayo je wataendelea mbele au ndio basi?
 
Back
Top Bottom