Live Updates: UD Songo Vs Simba SC, CAF Championship

Live Updates: UD Songo Vs Simba SC, CAF Championship

TP MAZEMBE kweli alioga 3-0 halafu kule Congo TP wakapindua kwa 4-0
Nilicho jua, ni kuwa watu hawaifaham vizuri hiyo timu, ndio mana wanaikosoa simba!! Ila ukweli wale jamaa ukiwa kwao sio rahisi kutoka!! Kocha mwenye anakiri kutumia mbinu zake zote lakini bado walibanwa tu!!
Watu wakisikia jina la timu lilivyo la ajab ajab wanajua ni dhaifu!! Kumbe dah! Hata TP wenyewe wanajua mziki wa hao jamaa
 
Back
Top Bottom