Nimekutag shoga kumbe ushatia neno.Yanga rahaaaaaa....
Nipo shogaaa naanzaje Kwenda mbali wakati timu yetu inatupa rahazeshchriss njoo huku Shoga usipite kimya kimya. Hahahaaaa
KitambooooNimekutag shoga kumbe ushatia neno.
We lazima utakua shabiki wa malalamiko FC sio kwa mbwembwe hzoGo goooal nje, ilipigwa shuti kali hapa golikipa Ramadhani Kabwili alipotea
Hahaaaa. Umeonaeee.Nipo shogaaa naanzaje Kwenda mbali wakati timu yetu inatupa raha
KabisaaaHahaaaa. Umeonaeee.
Humjuagi shoga huyu ni upande wa pili. [emoji2] [emoji2] [emoji2]We lazima utakua shabiki wa malalamiko FC sio kwa mbwembwe hzo
Ndyo maaaana Hahahaha atakufa kwa pressure Leo aongozane na kingungeHumjuagi shoga huyu ni upande wa pili. [emoji2] [emoji2] [emoji2]