Live Updates: Vodacom Premier League, Lipuli FC Vs Yanga SC uwanja wa Samora Iringa

Live Updates: Vodacom Premier League, Lipuli FC Vs Yanga SC uwanja wa Samora Iringa

Go goooal nje, ilipigwa shuti kali hapa golikipa Ramadhani Kabwili alipotea
 
Go goooal laa laa nafasi nzuri walipata Lipuli FC hapa
 
Mwashiuya anakwatua Jamal Mnyate.. Ni faulo kuelekea lango la Yanga SC
 
Inapigwa faulo go la la inatoka nje. Ilikuwa nafasi nzuri
 
41 ' golikipa wa Yanga Rama Kabwili anapewa kadi ya njano kwa kupoteza muda
 
45' +9 za mtanange uwanja wa Samora Iringa

Lipuli FC 0-1 Yanga
 
Half time hapa,Samora,, Lipuli FC (1 - 1) Yanga. Wanyalukolo hapa ni hatareee!!
 
Kadi ya njano kwa upande Lipuli FC kwa mchezaji Adam Salamba kwa kumsukuma Yondan
 
Back
Top Bottom